Google PlusRSS FeedEmail

UTPC YAKABIDHI VIFAA KWA VILABU VYA WANAHABARI MIKOANI

Muungano wa vilabu vya waandishi wa habari Tanzania umetoa vifaa vya
kazi (vitendea kazi) vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 35
kwa kila klabu ya wanahabari Mikoani kwa lengo la kuboresha utendaji
kazi, weledi na kujenga uchumi wa vilabu hivyo

Akikabidhi vifaa hivyo kwa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Lindi
jana makabidhiano yaliyofanyika katika ofisi za Dar City Press Club,
vifaa ambavyo ni pamoja na kamera, KOMPYUTA,Runinga na zana za kisasa
za mikutano na semina (projector) Ikiwemo machine ya
kopi(Photocopy)Makamu wa Rais wa UTPC Bi Jane Mihanji akimkabidhi
vifaa hivyo Mwenyekiti wa Lindi Press club,Abdulaziz Ahmeid amehimiza
utunzaji wa zana hizo pamoja na nidhamu ya matumizi ili kukomboa
waandishi Mikoani ikiwemo kujiongezea kipato..

This entry was posted in

Leave a Reply