Wananchi wa Rungwe Juu na Asante Nyerere wakishiriki kwa wingi kwenye mapokezi ya Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Ndugu Nape Nnauye alipowasili Rungwe Kata ya Asante Nyerere. |
Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akipokewa kwa mapokezi makubwa ,kulia kwake ni Mjumbe wa NEC wilaya ya Kasulu,Ndugu Daniel Nswanzigwanko |
Vijana wa Kata ya Asante Nyerere nao hawakuwa nyuma katika mapokezi ya kiongozi wao wa Kitaifa.Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi,Nape Moses Nnauye. |
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa ofisi za chama kata ya Asante Nyerere wilaya ya Rungwe. |