Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na ujumbe wake, ukiingiwa kwenye eneo la Uwanja wa Ndege wa Kigoma uliopo eneo la Kipampa, kwa ajili ya kushuhudia maendeleo yaliyofikiwa katika ujenzi mkubwa wa kiwanja hicho unaoendelea ili kukiongezea uwezo.
Mafundi wa kampuni ya Resident Engineer inayokarabati uwanja huo wakiwa kazini wakati msafara wa Kinana unakagua uwanja huo leo jioni
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwasalimia wafanyakazi kwenye uwanja huo alipowasili.
Meneja wa Uwanja huo, Elipind Tesha (kulia) akimweleza Kinana na ujumbe wake hatua ilipofikiwa katika ujenzi huu, ambapo alisema, umefikia asilimia tisini, na kwamba unaweza ingawa unaweza kuanza kutumika rasmi Aprili mwaka huu, lakini matengenezo yote yatakuwa yamekamilika Juni 2013. Wengine kutoka kushgoto ni, Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM, Martin Shigela.
Kazi ya kupanua Uwanja ikiendelea
Msafara wa Kinana ukipita kwenye eneo la matengenezo makubwa yanayofanyika kwenye Uwanja huo.
Nape akijaribu kuendesha moja ya vijiko vinavyotumika kufanya kazi kwenye ujenzi huo. Alibeba mapipa ya lami kwa kutumia kijiko hicho na kukiendesha kuyatoka eneo moja kwenda lingine.
Kinana akimsikilliza Mhandisi Mkazi wa Uwanja huo,Cleopa Mpembeni (wapili kulia) akimpa maelezo ya kiufundi kuhusu ujenzi unavyoendelea.
Msafara ukitoka baada ya ukaguzi huo. Ambapo Kinana akizungumza amewataka wananchi wa Kigoma na Watanzania kwa jumla kuzitumia fursa za kibiashara zitakazopatikana kutokana na kuboreshwa kwa Uwanja huo. (Picha zote na Bashir Nkoromo).
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
-
▼
2013
(633)
-
▼
January
(66)
- NAPE AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO ILAGALA KIGOMA
- KINANA: SERIKALI HAIWEZI KUAJIRI KILA MTU
- KINANA WEE ACHA TU, ASHIRIKI KIKWELI UJENZI WA MIR...
- KINANA AINGIA KWA KISHINDO KIBONDO LEO
- WATU NA MATUKIO KIGOMA
- RAIS KIKWETE AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS KABILA IKULU
- KINANA AFANYA MAMBO MAKUBWA WILAYANI KAKONKO
- NAPE AWAPOTEZA KABISA WAPINZANI KATA YA RUNGWE JUU...
- KATIBU MKUU WA UVCCM MARTIN SHIGELA ASHIRIKI SHUGH...
- KINANA ATINGA KAKONKO MKOANI KIGOMA
- NAPE AONGOZA WAZAZI NA WANAFUNZI KUJENGA MADARASA
- CCM YAITEKA KASULU
- KINANA NA UJUMBE WAKE WAKAGUA UJENZI DARAJA LA MAL...
- KINANA NA MSAFARA WAKE WAKAGUA MATENGENEZO YA UWAN...
- WAJUMBE WA SEKRETARIETI WAWASILI SALAMA KIGOMA LEO
- YALIOJIRI NJIANI KUELEKEA KIGOMA
- UJUMBE WA SEKRETARIETI WAINGIA TABORA USIKU HUU WA...
- MSAFARA WA KINANA UNAOSAFIRI KWA TRENI DAR-KIGOMA ...
- MKUU WA MKOA WA DODOMA AONGOZA MAPOKEZI YA SEKRETA...
- MSAFARA WAFIKA MOROGORO SALAMA
- SAFARI YA KUELEKEA KIGOMA KWA TRENI LEO
- MAGAZETINI LEO
- RAIS KIKWETE AMALIZA ZIARA UFARANSA LEO
- DK. ASHA-ROSE MIGIRO AKUTANA NA BALOZI WA VIETNAM LEO
- BALOZI WA UINGEREZA AMTEMBELEA KINANA
- UTPC YAKABIDHI VIFAA KWA VILABU VYA WANAHABARI MIK...
- RAIS KIKWETE AKUTANA NA VIONGOZI MBALIMBALI WA UFA...
- MAKAMU WA RAIS DK.BILAL AHUDHURIA MAZISHI YA MAKAM...
- SERIKALI YABADILI UTARATIBU WA MICHANGO SHULENI
- BALOZI WA RWANDA, CONGO-DRC WAKUTANA NA KINANA
- CCM KUTUMIA PIA SHEREHE ZA MIAKA 36, KUTATHMINI UC...
- NAPE: UBAGUZI UNAWAMALIZA CHADEMA
- MANGULA LIVE NA MABALOZI WA NYUMBA KUMI WA KATA 21...
- AJALI YA DALADALA YASABABISHA FOLENI MAGOMENI DAR ...
- MZEE MKAPA NA MSUYA WATOA MAONI YAO KUHUSU KATIBA
- WASIRA: KILIMO KWANZA KUUFIKISHA UCHUMI 'MIFUKONI'...
- NAPE NDANI YA MKASI NA SALAMA
- MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AENDESHA KIKAO CHA MUUNG...
- DC MAGU AFUNGUA KIKAO CHA KAZI CHA WATENDAJI SEKTA...
- VIONGOZI WAWILI WA CCM, WILAYA YA BAHI WAFARIKI DUNIA
- SHEREHE ZA MIAKA 49 YA MAPINDUZI ZANZIBAR LEO
- TAARIFA ILIYORUSHWA ITV KUHUSU POLISI WANAOTUHUMIW...
- HOTUBA YA RAIS KIKWETE NA UZINDUZI WA UJENZI WA D...
- MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA HOTELI YA KITALI...
- SERIKALI YALIFUFUA SHIRIKA LA RELI
- WASANII WA FILAMU WANOGESHA UZINDUZI WA KAMPENI YA...
- AWASILI TABORA KUFUNGA MIRADI ZAIDI
- RAIS KIKWETE AUNGURUMA NZEGA
- SERIKALI YA AWAMU YA NNE KUKAMILISHA UJENZI WA MAD...
- JK AFUNIKA IGUNGA LEO
- WALIOFAULU DARASA LA SABA 2012 KWENDA KAWE UKWAMAN...
- RAIS AHUDHURIA SHEREHE ZA KUSIMIKWA WAKFU ASKOFU D...
- MWANANCHI FC NA MICOVILLA FC NGOMA DROO ZATOKA SAR...
- RAIS AKUTANA NA VIONGOZI WA MKOA WA SINGIDA
- MKUTANO WA HADHARA RUAHA WILAYA YA KILOSA
- WATUMISHI WAKUSUDIA KUMSHITAKI MKURUGENZI WAO
- MBUNGE WA JIMBO LA MTAMA APOKEA MAUJAJI WATOKAO IS...
- MCHAKATO WA MISS UTALII TANZANIA NGAZI ZA MIKOA WA...
- RAIS KIKWETE AONANA NA MSHAURI WA KIJESHI WA UMOJA...
- RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WAENDA KUTOA PO...
- RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA MSANII SAJUKI LEO
- WATUMISHI WA IDARA YA ARDHI NA MALIASILI KATIKA HA...
- HILLARY CLINTON ATOKA HOSPITALI
- MJUMBE WA MKUTANO MKUU CHADEMA AACHIA NGAZI CHEO N...
- PROFESA MUHONGO ATOA TAARIFA YA SERIKALI KUHUSU UT...
- HAPPY NEW YEAR WADAU
-
▼
January
(66)
LOVE LINKS
Powered by Blogger.