Google PlusRSS FeedEmail

DC MAGU AFUNGUA KIKAO CHA KAZI CHA WATENDAJI SEKTA YA ELIMU LEO

MKUU wa Wilaya ya Magu, Jacqueline Liana, akifungua   kikao cha kazi cha watendaji wa sekta ya elimu katika wilaya hiyo  kilichofanyika leo, 14.1.2013,  katika ukumbi wa CCM, Magu Mjini. Kushoto ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu, Naomi Nnko na Kulia ni Afisa Elimu wa Halmashauri hiyo, Yesse Kanyuma
 MKURUGENZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu, mkoani Mwanza, Naomi Nnko,  akizungumza leo, 14.1.2013,  katika kikao cha kazi  cha watendaji wa sekta ya elimu katika wilaya hiyo. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Magu, Jacqueline
 MKUU wa Wilaya ya Magu, Jacqueline Liana akiteta jambo na Ofisa Elimu wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu, mkoani Mwanza, Yesse Kanyuma, wakati wa kikao cha kazi cha watendaji wa sekta ya elimu wilayani humo, kilichofanyika leo katika ukumbi wa CCM Magu Mjini.
 WALIMU wakuu, walimu wakuu wasaidizi na  waratibu wa elimu wa kata, ambao ni watendaji katika Halmashauri ya Wilaya ya Magu, mkoani Mwanza, wakiwa katika kikao cha kazi kilichofanyika leo katika ukumbi wa CCM, Magu Mjini,  na kuhudhuriwa na Mkuu wa Wilaya hiyo, Jacqueline Liana na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Naomi Nnko (hawapo pichani).
WALIMU wakuu, walimu wakuu wasaidizi na  waratibu wa elimu wa kata, ambao ni watendaji katika Halmashauri ya Wilaya ya Magu, mkoani Mwanza, wakiwa katika kikao cha kazi kilichofanyika  leo katika ukumbi wa CCM, Magu Mjini,  na kuhudhuriwa na Mkuu wa Wilaya hiyo, Jacqueline Liana na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Naomi Nnko (hawapo pichani). (PICHA ZOTE NA EMMENUEL NDEGE)

This entry was posted in

Leave a Reply