HILLARY CLINTON ATOKA HOSPITALI Posted on by Unknown Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Bi.HILLARY CLINTON ametoka Hospitali Mjini New York ambako alikuwa anatibiwa maradhi ya Mgando wa Damu karibu na Ubongo.Bofya hapa kwa habari zaidi