Google PlusRSS FeedEmail

MBUNGE WA JIMBO LA MTAMA APOKEA MAUJAJI WATOKAO ISRAEL PAMOJA NA MAHUJAJI WALIONDA HIJJA MAKKA KWA UFADHILI WA JIMBO LA MTAMA KATIKA KUKARIBISHA MWAKA 2013

Mbunge wa jimbo la Mtama,Bernard Membe akiwa na
Mahujaji walioenda Israel na Makka kwa ufadhili wa Jimbo la Mtama

Kutoka kushoto Katibu wa Baraza kuu la waislam Mkoa wa
Lindi,Alhaj,Abdillah Kassozy akimtakia heri ya mwaka mpya Mbunge wa
Jimbo la Mtama,Bernard Membe huku kiongozi wa safari ya Mahujaji wa
Makka 2012,Alhaj Saidi Ally Kinungu akimshukuru kwa niaba ya mahujaji
wenzie

Wageni mbalimbali waliohudhuria kukaribisha mwaka 2013

This entry was posted in

Leave a Reply