Beki wa Mwananchi Fc, M uhidin Sufiani 'Sufianimafoto'(kulia) akimtoka mchezaji wa Micovilla, wakati wa mchezo wa kirafiki uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Bora Kijitonyama Dar es Salaam leo asubuhi. Katika mchezo huo timu hizo zimetoka sare kwa kufungana mabao 2-2.
Beki wa Mwananchi Masua Mgumu (nyuma) akimdhibiti mchezaji wa Micovilla, wakati wa mchezo huo.
Abdallah Masoud wa Mwananchi (mbele) akimhadaa beki wa Micovilla, wakati wa mchezo huo.
Nahodha wa Mwananchi, Majuto Omary akichuana na beki wa Micovilla kuwania mpira wakati wa mcheo huo.