KUHUTUBIA MKUTANO MKUBWA WA HADHARA MIDA YA SAA TISA LEO
Wajumbe wa nyumba kumi wakimsilikiza Mangula alipozungumza nao kwenye Uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza muda huu kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara baadaye kwenye Uwanja huo.
Wajumbe wa nyumba kumi wa Ilemelea na Nyamagana jijini Mwanza, wakiwa katika foleni kwa ajili ya kumuuliza maswali Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula, alipozungumza nao kwenye Uwanja wa Nyamagana, leo Januari 20, 2013.