Google PlusRSS FeedEmail

WATUMISHI WA IDARA YA ARDHI NA MALIASILI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAGU WAFANYA MKUTANO LEO

 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu, mkoani Mwanza, Naomi Nnko, akizungumza katika kikao cha watumishi wa idara ya ardhi na maliasili wa halmashauri hiyo kilichofanyika 4.1.2013 katika ukumbi wa halmashauri hiyo. Wapili kulia ni Mkuu wa Wilaya hiyo, Jacqueline Liana.
  Watumishi wa Idara ya Ardhi na Maliasili katika Halmashauri ya Wilaya ya Magu, mkoani Mwanza, wakiwa katika kikao cha kazi kilichofanyika 4.1.2013 katika ukumbi wa halmashauri hiyo.
  Afisa Misitu wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu, mkoani Mwanza,  Chama Walwa, akizungumza katika kikao cha kazi cha watumishi wa idara ya ardhi na maliasili wa wilaya hiyo kilichofanyika 4.1.2013 katika ukumbi wa halmashauri hiyo.
 Afisa Ardhi katika Halmashauri ya Wilaya ya Magu, Emmanuel Mashamba, akizungumza katika kikao cha kazi cha watumishi wa Idara ya Ardhi ya Maliasili ya Halmashauri ya Wilaya ya Magu, mkoani Mwanza.
 MKUU wa Idara ya Ardhi na Maliasili katika Halmashauri ya Wilaya ya Magu, mkoani Mwanza, Julius Maira, akizungumza katika kikao cha watumishi wa idara hiyo kilichofanyika tarehe 4.1.2013 katika ukumbi wa halmashauri hiyo.
Watumishi wa Idara ya Ardhi na Maliasili katika halmashauri wa Wilaya ya Magu, mkoani Mwanza, wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Wilaya hiyo, Jacqueline Liana, baada ya kuwafungulia kikao cha kazi kilichofanyika 4.1.2013 katika ukumbi wa halmashauri hiyo (PICHA ZOTE NA EMMANUEL NDEGE)

This entry was posted in

Leave a Reply