Google PlusRSS FeedEmail

SHEREHE ZA MIAKA 49 YA MAPINDUZI ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein, akikagua Gwaride wakati wa Sherehe za Mapinduzi, zilizofanyika leo kwenye Uwanja wa Amani mjini Zanzibar.

Maandamano yakipita mbele ya Jukwaa Kuu

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt. Salmin Amour, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Amani Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kuhudhuria katka sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar.

Maandamano ya waendesha pikipiki marufu kama vipando yakipita mbele ya jukwaa
Makomandoo wa JWTZ wakionyesha ukakamavu wao mbele ya jukwaa kuu

This entry was posted in

Leave a Reply