Katibu Mkuu wa CCM, akisalimiana na wananchi wa Itigi. |
Katibu wa NEC ,Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisalimiana na wananchi wa Saranda, tarafa ya Kilimatinde, Wananchi wamefurahi kuona viongozi wao wakiwa nao pamoja na kusafiri nao pamoja. |
Ujumbe wa Sekretarieti ukisalimiana na Uongozi wa Tabora mara baada ya kuwasili hapo wakiwa njiani kuelekea Kigoma kwa kutumia usafiri wa Treni ya Reli ya kati. |