Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki kupiga lipu katika Shule ya Sekondari ya Nyansha . |
Katibu wa NEC akishiriki kujenga pamoja na wanakiji cha Nyansha,ujenzi wa madarasa ya Shule ya Sekondari ya Nyansha. |
Katibu wa NEC ,Itikadi na Uenezi akishiriki zoezi la kuunga mbao za kuezekea darasa jipya katika shule ya sekondari ya Nyansha,wilaya ya Kasulu. |