Dk.Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa( wa pili kulia) na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye wakiwa na furaha baada ya kuwasili Kigoma salama leo hii |
Katibu wa CCM Taifa, Ndugu Abdulrahaman Kinana akisalimiana na Daniel Nswanzigwanko mara baada ya kuwasili salama mjini Kigoma leo. |
Katibu Mkuu akivishwa skafu mara tu baada ya kuwasili Kigoma leo kwa usafiri wa treni ya reli ya kati tokea Dar es salaam. |
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki kupiga ngoma wakati wa mapokezi ya Wajumbe wa Sekretarieti ,uliowasili leo Kigoma kwa ajili ya sherehe za miaka 36 ya CCM. |
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa dereva wa treni Kambi Ali, wakiwa kwenye picha ya pamoja baada kuwasili mjini Kigoma leo asubuhi. Wengine kwenye picha ni wajumbe wa Sekretarieti na Viongozi wa mkoa wa Kigoma. PICHA ZOTE NA ADAM MZEE. PICHA ZAIDI BOFYA HAPA |