Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na Kiongozi wa jumuiya ya Ismailia duniani HH The Aga Khan alipomtembelea Hotel le Meurice jijini Paris |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa zawadi Rais wa Seneti ya Ufaransa Mhe Jean Pierre Bel, alipotembelea makao makuu yake jijini Paris |