Google PlusRSS FeedEmail

RAIS KIKWETE AMALIZA ZIARA UFARANSA LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemaliza ziara yake ya Kiserikali ya Siku tano nchini Ufaransa leo, Januari 23, 2013. Zifuatazo ni picha mbalimbali wakati akiagwa na mwenyeji wake, katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Orly, Ufaransa.
Picha zote na Ikulu

This entry was posted in

Leave a Reply