Google PlusRSS FeedEmail

MSAFARA WAFIKA MOROGORO SALAMA

Katibu wa NEC,Siasa na Mahusiano ya Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro akiwasalimia Wakazi wa wa mji wa Morogoro Stesheni usiku huu,walipokuwa wakielekea mkoani Kigoma kwa njia ya treni kwenye maadhimisho ya miaka 36 ya chama cha Mapinduzi CCM,Wajumbe wa Sekretarieti ya NEC wameondoka leo jijini Dar kwenda Mkoani Kigoma kuadhimisha miaka 36 ya Chama Cha Mapinduzi
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM,Ndg Abdulrahman Kinana akizungumza Wakazi wa wa mji wa Morogoro Stesheni usiku huu,walipokuwa wakielekea mkoani Kigoma kwa njia ya treni kwenye maadhimisho ya miaka 36 ya chama cha Mapinduzi CCM,Wajumbe wa Sekretarieti ya NEC wameondoka leo jijini Dar kwenda Mkoani Kigoma kuadhimisha miaka 36 ya Chama Cha Mapinduzi.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM,Ndg Abdulrahman Kinana akiwa sambamba na Katibu wa NEC itikaji na Uenezi Nape Nnauye wakiwasalimia Wakazi wa wa mji wa Morogoro Stesheni usiku huu,walipokuwa wakielekea mkoani Kigoma kwa njia ya treni kwenye maadhimisho ya miaka 36 ya chama cha Mapinduzi CCM,Wajumbe wa Sekretarieti ya NEC wameondoka leo jijini Dar kwenda Mkoani Kigoma kuadhimisha miaka 36 ya Chama Cha Mapinduzi.

This entry was posted in

Leave a Reply