Viongozi wa CCM ngazi ya mashina, matawi na kata wilayani Songea wakiwa kwenye semina ya masuala ya uongozi kwenye Uwanja wa Majimaji
Katibu Mkuu wa CCM akimpa tuzo maalum ya uasisi wa Chama, Alhajiu Mustafa Songambele, wakati wa semina hiyo. Picha na Muhidin Amri
Ktibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimpatia tuzo maalum ya uasisi wa Chama, Hawa Selemani wakati wa semina hiyo. Hawa alikabidhiwa tuzo hiyo kwa niaba ya marehemu mama yake Mwanabibi Forodhani.
Kijana Jackson Chikande wa kikuncdi cha sanaa cha Wasafi, akionyesha uhodari wake wa kucheza sarakasi wakati wa ufungizi wa semina hiyo
Dk. Emmanuel Nchimbi akimshukuru Katibu Mkuu, Kinana baada ya kufungua semina hiyo. IMETAYARISHWA NA BASHIR NKOROMO
KINANA AFUNGUA SEMINA YA VIONGOZI WA CCM NGAZI ZA MASHINA, MATAWI NA KATA WILAYA YA SONGEA
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwapungua mikono wajumbe, alipowasili kwenye Uwanja wa Majimaji mjini Songea kufungua semina ya vio... [Read More]
KINANA AWASILI MJINI SONGEA ASUBUHI HII, KUHUTUBIA BADAYE MKUTANO MKUBWA WA HADHARA ,UWANJA WA MAJIMAJI
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilakiwa na Mbunge wa Songea Mjini, Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Emmanuel Nchimbi baada ya kuwasili... [Read More]
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia mkutano huo
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Njombe, Deo Sanga akitoa yake ya moyoni mbele ya wananchi kabla ya kumkaribisha Kinana kuhutubia mkutano huo.
Ilibidi badhi ya wananchi kuongeza urefu wao kwa kusimama kwenye baiskeli kuweza kuona kila kilichokuwa kikifanyika kwenye mkutano huo
Msimamizi wa utekelezaji wa ilani ya CCM, wilaya ya Njombe, Mkuu wa wilaya hiyo Saraha Dumba, akikimbilia jukwaani alipotambulishwa uwepo wake kwenye mkutano huo.
Baadhi ya madiwani wilayani Njombe, wakinyoosha mikono walipotambulishwa uwepo wao kwenye mkuyano huo.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkabidhi kadi ya CCM, Edna Msigwa, alipokabidhi kadi kwa wanachama 150 wapya wa CCM katika mkutano huo. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Njombe, Deo Sanga aka Jah People.

Wanachama wapya waliopewa kadi ya Kinana, wakila kiapo
Wanachama hao wapya wakiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa CCM, Adbulrahman Kinana na viongozi wengine alioambatana nao kwenye mkutano huo.
Kabla ya kuwasili kwenye Uwanja wa mkutano huo, Kinana alikagua mabanda ya maonyesho ya wajasiriamali katika wilaya ya Njombe. Hapa alikuwa alitazama mafuta yanayosindikwa na wajasiriamali hao
Mapema Kinana alizindua Ofisi ya CCM tawi la Mizani, wilayani Njombe.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akitabasam baada ya mkutano wake huo kufana vya kutosha. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
CCM YAIFUNIKA MAKAMBAKO, WANANCHI WAFURIKA MKUTANO WA HADHARA WA KINANA
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kimama akihutubia mamia ya wananchi waliofurika kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jioni hii kwenye Uwan... [Read More]
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Njombe leo Juni 1, 2013. Kushoto ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Njombe Deo Sanga.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizindua jiwe la msingi Ujenzi wa Ofisi ya CCM wilaya ya Makete mkoani Njombe, jana.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwa na wana-CCM shina la Mdasi, Makete, baada ya kuzuia kwa muda msafara wake akiwa njiani kwenda Wanging'ombe jana.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwaslimia wananchi wa kijiji cha Makonga, baada ya kusimama kwa muda barabarani walikokuwa wananchi hao, akiwa njiani kwenda Wanging'ombe jana.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kufyatua matofali kwa ajili ya ujenzi wa zahanati ya Kata ya Samaria, wilayani Wanging'ombe mkaoni Njombe jana.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akishiriki kufyatua matofali kwa ajili ya ujenzi wa zahanati ya Kata ya Samaria, wilayani Wanging'ombe mkaoni Njombe jana.
Wananchi wakiwa wamefurika nje ya Ofisi ya CCM, wilaya ya Wanging'ombe kumlaki Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (waliopo chini ya bendera) baada ya kuwasili kwenye ofisi hiyo jana.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizindua mradi wa mizinga ya nyuki, wa Jumuia ya Wazazi Kata ya Mlangali, wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe, Machi 31, 2013. Mradi huo umeanza na mizinga 20.
Kinana akikagua moja ya mzinga wa nyuki wa mradi huo
Wananchi wakiwa kwenye Ofisi ya CCM ya Kitongoji cha Wangaiko, Njombe, wakati wa uzinduzi wa tawi hilo, uliofanywa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, jana.
Wananchi wakimsindikiza kwa ngoma Kinana (kushoto) baada ya kuzindua tawi hilo
Kijana Joseph Kihongo Kijana ambaye alikuwa Kada wa Chadema, akionyesha kadi yake ya uanachama wa chama hicho kabla ya kuikabidhi kwa Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana (kulia), baada ya kuamua kuhamia CCM, katika mkutano wa CCM uliofanyika Machi 31, 2013, kwenye tawi la CCM Wangamiko, wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe. Katika tukio hilo Kijana huyo na wanachama wengine wapya 150, walipatiwa kadi za CCM kwenye mkutano huo.PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
TASWIRA MBALIMBALI ZIARA YA KINANA MKOANI NJOMBE
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mamia ya wananchi baada ya kufungua tawi la CCM la Kitongoji cha Wangamiko, Kata ya Malan... [Read More]
![]() |
| Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akisalimiana na wakazi wa Njombe nje ya ofisi za CCM wilaya. |
![]() |
| Wenyeviti wa Zamani wa CCM wilaya ya Njombe wakifurahia salaam za KatibuMkuu alipowasili kwenye Makao Makuu ya CCM Wilaya ya Njombe. |
![]() |
| Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwapungia mkono mabalozi wa nyumba 10 . |
MABALOZI 449 WA NYUMBA 10 WAKUTANA NA KINANA NJOMBE
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akisalimiana na wakazi wa Njombe nje ya ofisi za CCM wilaya. Wenyeviti wa Zamani wa CCM wilaya ya Njombe wak... [Read More]





































