Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akisalimiana na wakazi wa Njombe nje ya ofisi za CCM wilaya. |
Wenyeviti wa Zamani wa CCM wilaya ya Njombe wakifurahia salaam za KatibuMkuu alipowasili kwenye Makao Makuu ya CCM Wilaya ya Njombe. |
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwapungia mkono mabalozi wa nyumba 10 . |