Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye ,akiwa kwenye mkutano wa hadhara wa kumnadi mgombea wa kiti cha udiwani cha kata ya Kimandolu,Arusha.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa kata ya Kimandolu wakati wa kampeni za udiwani .
Mgombea wa kiti cha udiwani, Ndugu Edna Jonathan Sauli akisalimia wakazi wa kata ya Kimandolu wakati wa kampeni za udiwani.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amewataka wakina mama wa kata ya Kimandolu kwenda kupiga kura kwani serikali imeandaa usalama wa kutosha.
Katibu wa NEC amesema kuwa kumekuwa na taarifa za kuwatisha wakina mama wasishiriki kupiga kura.
"Tarehe 16 asubuhi mpaka saa sita mchana wakinana mama muwe mmepiga kura,hakuna wa kuwatisha wala kuwazuia chama kimeandaa usalama wa kutosha pamoja na serikali"
Nape pia amewaambia muda wa kufanya shughuli za kimaendeleo umefika hivyo wana Kimandolu wasirudie tena makosa ya awali.