WAZIRI NCHIMBI AWAJULIA HALI MAJERUHI WA BOMU LA JANA ARUSHA
Waziri wa Mambo ya Ndani Emanueli Nchimbi akimpa pole hospitalini mjini Arusha, mtoto aliejeruhiwa na mabomu lililopigwa katika uwanja wa Soweto mwishoni mwa mkutano wa kufunga kampeni za udiwani za Chadema (Picha na Woinde shizza, Arusha