Katibu wa NEC ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro akiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Uhusiano wa Kimataifa wa Chama Cha Kimomunisti Cha Viatnam (CPV), Hoang Binh Quan, baada ya ujumbe wa CPV kuwasili asubuhi hii kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Quan na ujumbe wake wanatarajiwa kuwa na mazungumzo na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana baadaye leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es salaam, Ramadhani Madabiba.
Balozi wa Vietnam Tanzania, NguyenThien akimtambulisha Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Uhusiano wa Kimataifa wa Chama Cha Kimomunisti Cha Viatnam (CPV), Hoang Binh Quan kwa katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Martin Shigela (kulia) baada ya kushuka katika ndege, kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Katibu wa NEC ya CCM, Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro akiwatambulisha kwa Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Uhusiano wa Kimataifa wa Chama Cha Kimomunisti Cha Viatnam (CPV), Hoang Binh Quan, viongozi wa CCM aliofuatana nao katika mapokezi hayo, wakiwa chumba cha mapumziko Uwanja wa Ndege wa JN.
Dk.Asha-Rose Migiro na mgeni wake, wakiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa mgeni huyo na viongozi wengine wa CCM, wakati wamapokezi kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JN, Dar es Salaam.
Katibu wa NEC ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro akizungumza na Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Uhusiano wa Kimataifa wa Chama Cha Kimomunisti Cha Viatnam (CPV), Hoang Binh Quan, baada ya kumpokea kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere asubuhi hii. PICHA ZOTE NA BASHIUR NKOROMO
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
-
▼
2013
(633)
-
▼
June
(49)
- UFUNGUZI WA MKUTANO WA SMART PARTNERSHIP DIALOGUE ...
- JARIDA LA KIMATAIFA LAMFAGILIA MOHAMMED DEWJI KWA ...
- MPAMBANO WA MASUMBWI UBINGWA WA DUNIA
- MWENYEKITI UVCCM TAIFA: SIAFIKI SERIKALI MFUMO WA ...
- MEYA WA JIJI LA KAMPALA HOI BAADA YA KUTUOPIWA BOM...
- DK. ASHA-ROSE MIGIRO AFAGILIWA KWA UMAHIRI WA KISW...
- CCM UK WAGUSWA NA MLIPUKO WA BOMU ARUSHA HIVI KARI...
- BUSH NA MKEWE KUJA NCHINI MWEZI UJAO
- MAZALA AWATAKA WAFANYABIASHARA WA NGAZI ZOTE MKOAN...
- RAIS JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA UJUMBE WA BENKI YA ...
- HOSPITALI: CHADEMA WAZUSHI
- MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA BARANI AF...
- CCM YALAANI TUKIO LA MLIPUKO WA MABOMU ARUSHA
- WAZIRI NCHIMBI AWAJULIA HALI MAJERUHI WA BOMU LA J...
- IGP MWEMA AUNDA TIMU KUCHUNGUZA BOMU LILILOUA NA K...
- NAPE AITEKA DONGO BESH NA BASHNET
- NAPE: PUUZENI VITISHO VYA CHADEMA
- WAZEE WA ELERAI WATOA BARAKA ZA USHINDI KWA CCM
- UWT YAUFANYIA SHEREHE KUBWA UJUMBE WA CHAMA CHA PL...
- KINANA AMFUNGULIA MASHITAKA MAHAKAMA KUU PETER MS...
- KATA YA THEMI WACHOSHWA NA SIASA ZA VURUGU
- MANGULA AUKIRIMU CHAKULA CHA JIONI UJUMBE WA PALES...
- NAPE : PIGENI KURA USALAMA UPO WA KUTOSHA
- MAKAMU MWENYEKITI WA PLO AKUTANA NA KINANA, DAR ES...
- MAKAMU KWENYEKITI CHAMA CHA UKOMBOZI WA PALESTINA ...
- CCM YAONYESHA UKOMAVU
- STARS YAREJEA NYUMBANI KUTOKA MOROCCO
- KAMPENI ZA CCM ZA UDIWANI IFAKARA ZAFANA
- CCM YAZIDI KUJIIMARISHA KISHAPU, YAONGEZA IDADI YA...
- CCM MKOA WA VYUO WAPIGWA MSASA NA JANUARY MAKAMBA ...
- CCM DAR YAKUTANA NA UJUMBE WA CHAMA CHA KIKOMUNIST...
- NAPE : KILA LA KHERI TAIFA STARS
- MWALIKO MAHAFALI YA MAKADA WA VYUO WA CCM DAR ES S...
- UJUMBE WA VIETNAM WAKUTANA NA KINANA, MANGULA DAR
- KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AKUTANA NA U...
- UJUMBE WA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA VIETNAM WAWASI...
- RAIS KIKWETE AWASILI SINGAPORE KWA ZIARA YA KIKAZI...
- RASIM YA KATIBA MPYA, ILKIYOZINDULIWA NA SERIKALI ...
- MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA RASIMU YA KATIBA...
- MUONEKANIKO WA JUA LIKIZAMA LEO ZIWA VICTORIA
- NAPE AIZAMISHA CHADEMA SENGEREMA
- NAIBU KATIBU MKUU WA CCM ZANZIBAR VUAI ALI VUAI AM...
- No title
- KINANA AFUNGUA SEMINA YA VIONGOZI WA CCM NGAZI ZA ...
- No title
- KINANA AWASILI MJINI SONGEA ASUBUHI HII, KUHUTUBIA...
- CCM YAIFUNIKA MAKAMBAKO, WANANCHI WAFURIKA MKUTANO...
- TASWIRA MBALIMBALI ZIARA YA KINANA MKOANI NJOMBE
- MABALOZI 449 WA NYUMBA 10 WAKUTANA NA KINANA NJOMBE
-
▼
June
(49)
LOVE LINKS
Powered by Blogger.