Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha katika hoteli ya Protea Cortyard jijini Dar es Salaam, Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam Hoang Quan, baada ya mgeni huyo na ujumbe wake kuwasili kwa ajili ya mazungumzo na Kinana, Juni 6, 2013. Nyuma ya Quan ni Balozi wa Vietnam hapa nchini,Thien Nguyen
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha katika hoteli ya Protea Cortyard jijini Dar es Salaam, Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam Hoang Quan, baada ya mgeni huyo na ujumbe wake kuwasili kwa ajili ya mazungumzo na Kinana, Juni 6, 2013.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wapili kulia) akizungumza na Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam (CVP), Hoang Quan (wapili kulia), katika hoteli ya Protea Cortyard jijini Dar es Salaam. leo Juni 6, 2013. Kushoto ni Katibu wa NEC ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro na Watatu kushoto ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye. Kulia ni Balozi wa Vietnam Tanzania Thien Nguyen
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wapili kulia) akizungumza na Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam (CVP), Hoang Quan (wapili kulia), katika hoteli ya Protea Cortyard jijini Dar es Salaam. leo Juni 6, 2013. Kushoto ni Katibu wa NEC ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro na Watatu kushoto ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye. Kulia ni Balozi wa Vietnam Tanzania Thien Nguyen
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimshukuru Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam Hoang Quan, baada ya mazungumzo yao katika hoteli ya Protea Courtyard, Dar es salaam, leo. Kushoto ni Dk. Asha Rose Migiro na watatu kushoto ni Nape Nnauye.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimshukuru Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam Hoang Quan, baada ya mazungumzo yao katika hoteli ya Protea Courtyard, Dar es salaam, leo. Kushoto ni Dk. Asha Rose Migiro na watatu kushoto ni Nape Nnauye. Kulia ni Balozi wa Vietnam Thien Nguyen
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana na mgeni wake, Quan wakiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa mgeni huyo
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Phili Mangula akizungumza wakati wa chakula cha mchana kilichoandaliwa kwa ajili ya ujumbe wa Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam Hoang Quan (wapili kushoto) katika Mgahawa wa Akemi jijini Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula akimpa zawadi ya sanamu ya twiga iliyotengenezwa kwa vyuma chalavu, Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam Hoang Quan, wakati wa chakula cha mchana kwenye mgahawa wa Akemi, jijini Dar es salaam. Sanamu hiyo ni ubunifu unaofanywa na kikundi cha walemavu jijini Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula na Quan wakiwa katika picha yua pamoja na baadhi ya viongozi wa CCM. Kushoto ni Balozi wa Vietman hapa nchini Nguyan. Picha zote na BASHIR NKOROMO
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
-
▼
2013
(633)
-
▼
June
(49)
- UFUNGUZI WA MKUTANO WA SMART PARTNERSHIP DIALOGUE ...
- JARIDA LA KIMATAIFA LAMFAGILIA MOHAMMED DEWJI KWA ...
- MPAMBANO WA MASUMBWI UBINGWA WA DUNIA
- MWENYEKITI UVCCM TAIFA: SIAFIKI SERIKALI MFUMO WA ...
- MEYA WA JIJI LA KAMPALA HOI BAADA YA KUTUOPIWA BOM...
- DK. ASHA-ROSE MIGIRO AFAGILIWA KWA UMAHIRI WA KISW...
- CCM UK WAGUSWA NA MLIPUKO WA BOMU ARUSHA HIVI KARI...
- BUSH NA MKEWE KUJA NCHINI MWEZI UJAO
- MAZALA AWATAKA WAFANYABIASHARA WA NGAZI ZOTE MKOAN...
- RAIS JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA UJUMBE WA BENKI YA ...
- HOSPITALI: CHADEMA WAZUSHI
- MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA BARANI AF...
- CCM YALAANI TUKIO LA MLIPUKO WA MABOMU ARUSHA
- WAZIRI NCHIMBI AWAJULIA HALI MAJERUHI WA BOMU LA J...
- IGP MWEMA AUNDA TIMU KUCHUNGUZA BOMU LILILOUA NA K...
- NAPE AITEKA DONGO BESH NA BASHNET
- NAPE: PUUZENI VITISHO VYA CHADEMA
- WAZEE WA ELERAI WATOA BARAKA ZA USHINDI KWA CCM
- UWT YAUFANYIA SHEREHE KUBWA UJUMBE WA CHAMA CHA PL...
- KINANA AMFUNGULIA MASHITAKA MAHAKAMA KUU PETER MS...
- KATA YA THEMI WACHOSHWA NA SIASA ZA VURUGU
- MANGULA AUKIRIMU CHAKULA CHA JIONI UJUMBE WA PALES...
- NAPE : PIGENI KURA USALAMA UPO WA KUTOSHA
- MAKAMU MWENYEKITI WA PLO AKUTANA NA KINANA, DAR ES...
- MAKAMU KWENYEKITI CHAMA CHA UKOMBOZI WA PALESTINA ...
- CCM YAONYESHA UKOMAVU
- STARS YAREJEA NYUMBANI KUTOKA MOROCCO
- KAMPENI ZA CCM ZA UDIWANI IFAKARA ZAFANA
- CCM YAZIDI KUJIIMARISHA KISHAPU, YAONGEZA IDADI YA...
- CCM MKOA WA VYUO WAPIGWA MSASA NA JANUARY MAKAMBA ...
- CCM DAR YAKUTANA NA UJUMBE WA CHAMA CHA KIKOMUNIST...
- NAPE : KILA LA KHERI TAIFA STARS
- MWALIKO MAHAFALI YA MAKADA WA VYUO WA CCM DAR ES S...
- UJUMBE WA VIETNAM WAKUTANA NA KINANA, MANGULA DAR
- KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AKUTANA NA U...
- UJUMBE WA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA VIETNAM WAWASI...
- RAIS KIKWETE AWASILI SINGAPORE KWA ZIARA YA KIKAZI...
- RASIM YA KATIBA MPYA, ILKIYOZINDULIWA NA SERIKALI ...
- MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA RASIMU YA KATIBA...
- MUONEKANIKO WA JUA LIKIZAMA LEO ZIWA VICTORIA
- NAPE AIZAMISHA CHADEMA SENGEREMA
- NAIBU KATIBU MKUU WA CCM ZANZIBAR VUAI ALI VUAI AM...
- No title
- KINANA AFUNGUA SEMINA YA VIONGOZI WA CCM NGAZI ZA ...
- No title
- KINANA AWASILI MJINI SONGEA ASUBUHI HII, KUHUTUBIA...
- CCM YAIFUNIKA MAKAMBAKO, WANANCHI WAFURIKA MKUTANO...
- TASWIRA MBALIMBALI ZIARA YA KINANA MKOANI NJOMBE
- MABALOZI 449 WA NYUMBA 10 WAKUTANA NA KINANA NJOMBE
-
▼
June
(49)
LOVE LINKS
Powered by Blogger.