Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Uhusiano wa Kimataifa wa Chama Cha Kikomunisti Cha Viatnam (CPV), Hoang Binh Quan hayupo pichani wakati wa mazungumzo yao na ujumbe wa chamnye hoteli ya Courtyard Jijini Dar es salaam ujumbe wa chama hicho uko hapa nchini kwa mazungumzo ya kuimarisha uhusiano wa siku nyingi kati ya vyama vya CCM na CPV kinachotawala nchini Vietnam, Kushoto ni Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC siasa na Uhusiano wa Kiamataofa CCM na kulia ni Nape nnauye Katibu wa NEC Itikadi Siasa na Uenezi CCM. Ujumbe wa vyama vya CCM na CPV Vietnam ukiwa katika mazungumzo kwenye hoteli ya Courtyard jijini Dar es salaam leo.
Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Uhusiano wa Kimataifa wa Chama Cha Kimomunisti Cha Viatnam (CPV), Hoang Binh Quan akizungumza katika kikao hicho, kulia ni Balozi wa Vietnam Tanzania, NguyenThien na kushoto ni Pham Hai Mkuu wa masuala ya Afrika na aliyekuwa mkaliamani katikamkutano huo Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akifafanua jambo kwa waandishi wa habari mara baada ya mazungumzo yake na ujumbe wa chama cha Kikomunisti cha Vietnam.