Google PlusRSS FeedEmail

KINANA AWASILI MJINI SONGEA ASUBUHI HII, KUHUTUBIA BADAYE MKUTANO MKUBWA WA HADHARA ,UWANJA WA MAJIMAJI

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilakiwa na Mbunge wa Songea Mjini, Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Emmanuel Nchimbi baada ya kuwasili mjini Songea leo kwa ajili ya ziara ya siku moja. Kinana anatarajiwa kuhutubia mkutano mkubwa wa hadhara baadaye leo kwenye Uwanja wa Maji Maji 
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwasili kwenye Ofisi ya CCM ya mkoa wa Ruvuma, wilayani Songea. Nyuma yake ni Katibu wa CCM wa mkoa wa Ruvuma, Verena Shumbusho. Picha zote na BASHIR NKOROMO

This entry was posted in

Leave a Reply