RAIS JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA UJUMBE WA BENKI YA BADEA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Benki ya kiarabau kwa maendeleo ya Afrika BADEA wakati wajumbe hao walipomtembelea na kufanya naye mazungumzo ikulu jijini Dar es Salaam(picha na Freddy Maro)