Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwapungua mikono wajumbe, alipowasili kwenye Uwanja wa Majimaji mjini Songea kufungua semina ya viongozi wa CCM ngazi za mashina, matawi na kata wa wilaya ya Songea mkoani Ruvuma leo. Wapili kulia ni Mbunge wa Soingea mjini, Waziri wa Mambo ya Ndani Dk. Emmanuel Nchimbi.
Viongozi wa CCM ngazi ya mashina, matawi na kata wilayani Songea wakiwa kwenye semina ya masuala ya uongozi kwenye Uwanja wa Majimaji
Katibu Mkuu wa CCM akimpa tuzo maalum ya uasisi wa Chama, Alhajiu Mustafa Songambele, wakati wa semina hiyo. Picha na Muhidin Amri
Ktibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimpatia tuzo maalum ya uasisi wa Chama, Hawa Selemani wakati wa semina hiyo. Hawa alikabidhiwa tuzo hiyo kwa niaba ya marehemu mama yake Mwanabibi Forodhani.
Kijana Jackson Chikande wa kikuncdi cha sanaa cha Wasafi, akionyesha uhodari wake wa kucheza sarakasi wakati wa ufungizi wa semina hiyo
Dk. Emmanuel Nchimbi akimshukuru Katibu Mkuu, Kinana baada ya kufungua semina hiyo. IMETAYARISHWA NA BASHIR NKOROMO