Google PlusRSS FeedEmail

MAKAMU MWENYEKITI WA PLO AKUTANA NA KINANA, DAR ES SALAAM

 Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (HKT) ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose, akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Ukombozi cha Palestina (PLO) Tayseer Khalid, baada ya kumpokea kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo Juni 12, 2013. Kiongozi huyo yupo nchini kwa mwaliko wa CCM.


This entry was posted in

Leave a Reply