Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi ,Nape Nnauye akipata mapokezi ya kichama alipowasili kwenye kata ya Dongo besh.
Wazee wa kimila wakifanya ibada ya kimila kabla ya kuanza kwa mkutano wa kampeni za Udiwani Dongo besh.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akihutubia wakazi wa kata ya Dongo besh na kuwaambia wakati ndio huu kwa wao kuchagua kiongozi atakaye wafaa kwa kuleta maendeleo yao.
Mgombea wa udiwani wa Dongo besh, Joseph almaarufu Cheng Lee akihutubia wakazi wa eneo hilo.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimsikiliza mkazi wa Dongo besh aliyeamua kurudisha kadi ya Chadema na kurejeaa CCM,baada ya kuelewa yale aliyokuwa akihutubia Nape.
Mtoto huyu hakuwa nyuma kufuatilia mkutano wa kampeni za udiwani kwa tiketi ya CCM kata ya Dongo besh.
Wakazi wa Dongo besh wakiwa juu ya mti kabisa kusikiliza sera za CCM.
Umati mkubwa wa wakazi wa Dongo besh wakimsikiliza kwa makini Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi kwenye mkutano wa kuhitimisha kampeni za udiwani zilizofanyika Dongobesh
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akishiriki kucheza ngoma ya wenyeji wa Dongo besh mara baada ya kumaliza kuhutubia na kufunga kampeni za kugombea kiti cha udiwani.
BASHNET
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisalimiana na Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu ( Uwekezaji na Uwewezeshaji) Dk. Marry Nagu.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akisalimiana na Mbunge wa Babati Vijijini , ndugu Jitu Soni .
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Taifa Nape Nnauye akisalimiana na mbunge wa Simanjiro Christopher Ole Sendeka.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akihutubia wakazi wa Bashnet wwakati wa kuhitimisha mikutano ya kampeni za udiwani.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimtambulisha mgombea wa kiti cha udiwani kwa tiket ya CCM, Ndugu Nicodemus Gwandu.
Mbunge wa Babati Vijijini, Jitu Soni akiwa pamoja na wananchi wa jimbo lake wakati wa mkutano.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimjulia hali mama mzazi wa Laurent Tara.
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
-
▼
2013
(633)
-
▼
June
(49)
- UFUNGUZI WA MKUTANO WA SMART PARTNERSHIP DIALOGUE ...
- JARIDA LA KIMATAIFA LAMFAGILIA MOHAMMED DEWJI KWA ...
- MPAMBANO WA MASUMBWI UBINGWA WA DUNIA
- MWENYEKITI UVCCM TAIFA: SIAFIKI SERIKALI MFUMO WA ...
- MEYA WA JIJI LA KAMPALA HOI BAADA YA KUTUOPIWA BOM...
- DK. ASHA-ROSE MIGIRO AFAGILIWA KWA UMAHIRI WA KISW...
- CCM UK WAGUSWA NA MLIPUKO WA BOMU ARUSHA HIVI KARI...
- BUSH NA MKEWE KUJA NCHINI MWEZI UJAO
- MAZALA AWATAKA WAFANYABIASHARA WA NGAZI ZOTE MKOAN...
- RAIS JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA UJUMBE WA BENKI YA ...
- HOSPITALI: CHADEMA WAZUSHI
- MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA BARANI AF...
- CCM YALAANI TUKIO LA MLIPUKO WA MABOMU ARUSHA
- WAZIRI NCHIMBI AWAJULIA HALI MAJERUHI WA BOMU LA J...
- IGP MWEMA AUNDA TIMU KUCHUNGUZA BOMU LILILOUA NA K...
- NAPE AITEKA DONGO BESH NA BASHNET
- NAPE: PUUZENI VITISHO VYA CHADEMA
- WAZEE WA ELERAI WATOA BARAKA ZA USHINDI KWA CCM
- UWT YAUFANYIA SHEREHE KUBWA UJUMBE WA CHAMA CHA PL...
- KINANA AMFUNGULIA MASHITAKA MAHAKAMA KUU PETER MS...
- KATA YA THEMI WACHOSHWA NA SIASA ZA VURUGU
- MANGULA AUKIRIMU CHAKULA CHA JIONI UJUMBE WA PALES...
- NAPE : PIGENI KURA USALAMA UPO WA KUTOSHA
- MAKAMU MWENYEKITI WA PLO AKUTANA NA KINANA, DAR ES...
- MAKAMU KWENYEKITI CHAMA CHA UKOMBOZI WA PALESTINA ...
- CCM YAONYESHA UKOMAVU
- STARS YAREJEA NYUMBANI KUTOKA MOROCCO
- KAMPENI ZA CCM ZA UDIWANI IFAKARA ZAFANA
- CCM YAZIDI KUJIIMARISHA KISHAPU, YAONGEZA IDADI YA...
- CCM MKOA WA VYUO WAPIGWA MSASA NA JANUARY MAKAMBA ...
- CCM DAR YAKUTANA NA UJUMBE WA CHAMA CHA KIKOMUNIST...
- NAPE : KILA LA KHERI TAIFA STARS
- MWALIKO MAHAFALI YA MAKADA WA VYUO WA CCM DAR ES S...
- UJUMBE WA VIETNAM WAKUTANA NA KINANA, MANGULA DAR
- KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AKUTANA NA U...
- UJUMBE WA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA VIETNAM WAWASI...
- RAIS KIKWETE AWASILI SINGAPORE KWA ZIARA YA KIKAZI...
- RASIM YA KATIBA MPYA, ILKIYOZINDULIWA NA SERIKALI ...
- MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA RASIMU YA KATIBA...
- MUONEKANIKO WA JUA LIKIZAMA LEO ZIWA VICTORIA
- NAPE AIZAMISHA CHADEMA SENGEREMA
- NAIBU KATIBU MKUU WA CCM ZANZIBAR VUAI ALI VUAI AM...
- No title
- KINANA AFUNGUA SEMINA YA VIONGOZI WA CCM NGAZI ZA ...
- No title
- KINANA AWASILI MJINI SONGEA ASUBUHI HII, KUHUTUBIA...
- CCM YAIFUNIKA MAKAMBAKO, WANANCHI WAFURIKA MKUTANO...
- TASWIRA MBALIMBALI ZIARA YA KINANA MKOANI NJOMBE
- MABALOZI 449 WA NYUMBA 10 WAKUTANA NA KINANA NJOMBE
-
▼
June
(49)
LOVE LINKS
Powered by Blogger.