Google PlusRSS FeedEmail

MEYA WA JIJI LA KAMPALA HOI BAADA YA KUTUOPIWA BOMU LA MACHOZI AKIWA KWENYE MAANDAMANO

Meya wa mji wa Kampala, nchini Uganda, Erias Lukwago, amelazwa hospitalini nchini humo, baada kutupigwa bomu la machozi akiwa ndani ya gari lake.

Inadaiwa mmoja wa polisi wa kutuliza ghasia (FFU) nchini humo a. k.a ( Kina ras Makunja) ndiye
alitupa katika gari la Mstahiki Meya huyo akiwa katika maandamano mjini Kamapala Picha Kamilkit BOFYA HAPA

This entry was posted in

Leave a Reply