KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mamia ya wananchi baada ya kufungua tawi la CCM la Kitongoji cha Wangamiko, Kata ya Malangali wilaya ya Wanging'ombe, Machi 31, 2013, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji ilani ya Chama, na pia kukagua na kuimarisha uhai wa Chama katika mkoa wa Njombe.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Njombe leo Juni 1, 2013. Kushoto ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Njombe Deo Sanga.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizindua jiwe la msingi Ujenzi wa Ofisi ya CCM wilaya ya Makete mkoani Njombe, jana.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwa na wana-CCM shina la Mdasi, Makete, baada ya kuzuia kwa muda msafara wake akiwa njiani kwenda Wanging'ombe jana.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwaslimia wananchi wa kijiji cha Makonga, baada ya kusimama kwa muda barabarani walikokuwa wananchi hao, akiwa njiani kwenda Wanging'ombe jana.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kufyatua matofali kwa ajili ya ujenzi wa zahanati ya Kata ya Samaria, wilayani Wanging'ombe mkaoni Njombe jana.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akishiriki kufyatua matofali kwa ajili ya ujenzi wa zahanati ya Kata ya Samaria, wilayani Wanging'ombe mkaoni Njombe jana.
Wananchi wakiwa wamefurika nje ya Ofisi ya CCM, wilaya ya Wanging'ombe kumlaki Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (waliopo chini ya bendera) baada ya kuwasili kwenye ofisi hiyo jana.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizindua mradi wa mizinga ya nyuki, wa Jumuia ya Wazazi Kata ya Mlangali, wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe, Machi 31, 2013. Mradi huo umeanza na mizinga 20.
Kinana akikagua moja ya mzinga wa nyuki wa mradi huo
Wananchi wakiwa kwenye Ofisi ya CCM ya Kitongoji cha Wangaiko, Njombe, wakati wa uzinduzi wa tawi hilo, uliofanywa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, jana.
Wananchi wakimsindikiza kwa ngoma Kinana (kushoto) baada ya kuzindua tawi hilo
Kijana Joseph Kihongo Kijana ambaye alikuwa Kada wa Chadema, akionyesha kadi yake ya uanachama wa chama hicho kabla ya kuikabidhi kwa Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana (kulia), baada ya kuamua kuhamia CCM, katika mkutano wa CCM uliofanyika Machi 31, 2013, kwenye tawi la CCM Wangamiko, wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe. Katika tukio hilo Kijana huyo na wanachama wengine wapya 150, walipatiwa kadi za CCM kwenye mkutano huo.PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
-
▼
2013
(633)
-
▼
June
(49)
- UFUNGUZI WA MKUTANO WA SMART PARTNERSHIP DIALOGUE ...
- JARIDA LA KIMATAIFA LAMFAGILIA MOHAMMED DEWJI KWA ...
- MPAMBANO WA MASUMBWI UBINGWA WA DUNIA
- MWENYEKITI UVCCM TAIFA: SIAFIKI SERIKALI MFUMO WA ...
- MEYA WA JIJI LA KAMPALA HOI BAADA YA KUTUOPIWA BOM...
- DK. ASHA-ROSE MIGIRO AFAGILIWA KWA UMAHIRI WA KISW...
- CCM UK WAGUSWA NA MLIPUKO WA BOMU ARUSHA HIVI KARI...
- BUSH NA MKEWE KUJA NCHINI MWEZI UJAO
- MAZALA AWATAKA WAFANYABIASHARA WA NGAZI ZOTE MKOAN...
- RAIS JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA UJUMBE WA BENKI YA ...
- HOSPITALI: CHADEMA WAZUSHI
- MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA BARANI AF...
- CCM YALAANI TUKIO LA MLIPUKO WA MABOMU ARUSHA
- WAZIRI NCHIMBI AWAJULIA HALI MAJERUHI WA BOMU LA J...
- IGP MWEMA AUNDA TIMU KUCHUNGUZA BOMU LILILOUA NA K...
- NAPE AITEKA DONGO BESH NA BASHNET
- NAPE: PUUZENI VITISHO VYA CHADEMA
- WAZEE WA ELERAI WATOA BARAKA ZA USHINDI KWA CCM
- UWT YAUFANYIA SHEREHE KUBWA UJUMBE WA CHAMA CHA PL...
- KINANA AMFUNGULIA MASHITAKA MAHAKAMA KUU PETER MS...
- KATA YA THEMI WACHOSHWA NA SIASA ZA VURUGU
- MANGULA AUKIRIMU CHAKULA CHA JIONI UJUMBE WA PALES...
- NAPE : PIGENI KURA USALAMA UPO WA KUTOSHA
- MAKAMU MWENYEKITI WA PLO AKUTANA NA KINANA, DAR ES...
- MAKAMU KWENYEKITI CHAMA CHA UKOMBOZI WA PALESTINA ...
- CCM YAONYESHA UKOMAVU
- STARS YAREJEA NYUMBANI KUTOKA MOROCCO
- KAMPENI ZA CCM ZA UDIWANI IFAKARA ZAFANA
- CCM YAZIDI KUJIIMARISHA KISHAPU, YAONGEZA IDADI YA...
- CCM MKOA WA VYUO WAPIGWA MSASA NA JANUARY MAKAMBA ...
- CCM DAR YAKUTANA NA UJUMBE WA CHAMA CHA KIKOMUNIST...
- NAPE : KILA LA KHERI TAIFA STARS
- MWALIKO MAHAFALI YA MAKADA WA VYUO WA CCM DAR ES S...
- UJUMBE WA VIETNAM WAKUTANA NA KINANA, MANGULA DAR
- KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AKUTANA NA U...
- UJUMBE WA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA VIETNAM WAWASI...
- RAIS KIKWETE AWASILI SINGAPORE KWA ZIARA YA KIKAZI...
- RASIM YA KATIBA MPYA, ILKIYOZINDULIWA NA SERIKALI ...
- MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA RASIMU YA KATIBA...
- MUONEKANIKO WA JUA LIKIZAMA LEO ZIWA VICTORIA
- NAPE AIZAMISHA CHADEMA SENGEREMA
- NAIBU KATIBU MKUU WA CCM ZANZIBAR VUAI ALI VUAI AM...
- No title
- KINANA AFUNGUA SEMINA YA VIONGOZI WA CCM NGAZI ZA ...
- No title
- KINANA AWASILI MJINI SONGEA ASUBUHI HII, KUHUTUBIA...
- CCM YAIFUNIKA MAKAMBAKO, WANANCHI WAFURIKA MKUTANO...
- TASWIRA MBALIMBALI ZIARA YA KINANA MKOANI NJOMBE
- MABALOZI 449 WA NYUMBA 10 WAKUTANA NA KINANA NJOMBE
-
▼
June
(49)
LOVE LINKS
Powered by Blogger.