MWALIKO MAHAFALI YA MAKADA WA VYUO WA CCM DAR ES SALAAM
MWENYEKITI wa makada wa vyuo mkoa wa vyuo wilaya ya Dar es salaam, Ndugu Asenga Abubakar (pichani) anawaalika makada, wapenzi na wa mashabiki wote wa CCM ambao wapo vyuoni kuhudhurua katika mahafali ya kuwaaga wanachama wenzao wanaomaliza vyuo mwaka huu wa 2013 mkoa wa Dar es salaam. Uchukuaji data base ni Jumamosi hii, Juni 8, 2013, katika ukumbi wa Karimjee, kuanzia saa tatuy hadi saa nne asubuhi.