Google PlusRSS FeedEmail
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana (wa tatu toka  kulia) akiwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Morogoro Ndugu Innocent  Kalogeris, Katibu wa NEC Itikadozi na Uenezi,Nape Nnauye na viongozi wengine wa wilaya ya Mvomero wakiwa kwenye mkutano wa pamoja kati wa wakulima na wamiliki wa kwanda cha sukari Mtibwa.

Wakulima wa wilaya ya Mvomero pamoja na viongozi wa  kiwanda cha sukari Mtibwa wakiwa kwenye mkutano na  Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana 

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Morogoro,Ndugu Innocent Kalogeres akifafanua jambo wakati wa mkutano na wakulima pamoja na wamiliki wa kiwanda cha Mtibwa.

Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akiwasalimu  Wakulima wa wilaya ya Mvomero wakati wa mkutano kati ya wakuli na wamiliki wa kiwanda cha sukari cha Mtibwa pamoja na Katibu Mkuu  wa CCM,Ndugu Abdulrahaman Kinana.

Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wakulima wa Mvomero na wamiliki wa kiwanda cha sukari cha Mtibwa ambapo matatizo na kero za muda mrefu kati ya wakulima,wamiliki wa kiwanda cha sukari  cha Mtibwa na wafugaji.

Mwenyekiti wa chama cha wakulima  (MOA) Hadija Kondo akielezea matatizo yanayowakabili wakulima wa Mvomero.


Msemaji wa kiwanda cha sukari cha Mtibwa,ndugu Hamad Yahya Juma akifafanua masula mbali mbali ambayo yanaleta migogoro kati ya wakulima na kiwanda hicho mbele ya katib.u mkuu wa CCm,ndugu Abdulrahman Kinana

John Mwalisu,Zonal meneja wa PPF akifafanua maswala ambayo wakulima wanalalamika .

Jonnas Van Zeland ,Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mvomero akizungumzia kwa kina  ubadhilifu mkubwa wa fedha uliofanywa kwenye halmashauri hiyo.

KINANA AONGOZA KIKAO CHA WAKULIMA WA MIWA NA WAMILIKI WA KIWANDA CHA MTIBWA

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana (wa tatu toka  kulia) akiwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Morogoro Ndugu Innocent  Kalogeris, Kat... [Read More]

KINANA APOKELEWA NA WAFANYA BIASHARA WADOGO MVOMERO

Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahaman Kinana akisalimiana na  Vijana wafanyabiashara  wadogo wa Magole,Feri  ,Mvomero alipokuwa anaingia wi... [Read More]

KINANA AWAPONGEZA VIJANA WA GAIRO KWA KUJISHUGHULISHA NA SHUGHULI ZA MAENDELEO.

Vijana wa Chipukizi wakiwa kwenye Gwaride la kumpokea Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahaman Kinana,wilayani Gairo, tarehe 18 April 2013 Wana... [Read More]

CCM YAWASHA MOTO LEO GAIRO, MKUTANO MKUBWA KURINDIMA JIONI

KINANA GAIRO, MOROGORO, Tanzania Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo kinatarajiwa 'kuuteka' mji wa Gairo kitakapofanya mkutano mkubwa wa h... [Read More]

KATIBU MKUU KIONGOZI AKUTANA NA BALOZI WA OMAN NCHINI

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Oman nchini Tanzania Mhe Yahya bin Moussa al Bakari ofisini ... [Read More]

MZEE MWINYI AKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR ES SALAAM

Rais Mstaafu wa awamu ya pili,Alhaj Ali Hassan Mwinyi akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam tarehe 17 April 2013 ,wakati a... [Read More]

Katibu Mkuu wa CCM,Abdulrahman Kinana (kulia) akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara leo jioni mjini Kilosa, mkoani Morogoro.
  Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akisaini cha kitabu cha wageni kwenye Shina  la wajasiriamali wakereketwa wa CCM la Dinima, Kilosa katika ya kuwasili mjini Kilosa mkoani Morogoro kuhutubia mkutano mkubwa wa hadhara leo Aprili 17, 2-13.
Vijana wakisahngilia msafara wa Katibu Mkuu wa CCM, wakati msafara huo ukitoka Ifakara kwenda Kilosa  leo
Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akizungumza na wanachama wa CCM shila namba 15, tawi la CCM Mbuni B, Kilosa. Kushoto ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi. Alyevaa miwani (kulia) ni Katibu wa NEC, Oganaizesheni, Dk. mhammed Seif Khatib.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nap Nnauye (kushoto) akimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana (kulia) wakati amekaa na wajumbe wa shina  namba  15, tawi la CCM Mbuni B.
Viongozi kuanzia ngazi za mashina wa CCM katika wilaya ya Kilosa, wakizungumza na Kinana kwenye ukumbi wa Comfort, wilayani humo 
Katibu wa NEC, Oganaizesheni Mohamed Sif Khatib akitazama mahidi yalivyostawi kwenye shamba la mkulima maarufu wa wilayani Kilosa

CCM YAFUNIKA KILOSA, MAMIA WAJITOKEZA KUMSIKILIA KINANA

Katibu Mkuu wa CCM,Abdulrahman Kinana (kulia) akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara leo jioni mjini Kilosa, mkoani Morogoro.   Katibu Mkuu wa... [Read More]