Vijana wa Chipukizi wakiwa kwenye Gwaride la kumpokea Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahaman Kinana,wilayani Gairo, tarehe 18 April 2013 |
Wananchi wa Chakwale,wilayani Gairo wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahaman Kinana mara baada ya kufungua shina la Wakereketwa Sokoni. |
Vijana wa CCM ,Shina la Kibedya ambao wao wanajishughulisha na kilimo pamoja na kupukuchua mahindi |
Zefania Magiga aliyekuwa Mwenyekiti wa kata Chadema,akitangaza rasmi kuhamia CCM kwenye Mkutano wa hadhara ulifanyika Giro mbele ya Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahaman Kinana. |