Google PlusRSS FeedEmail

NAPE AFUNGUA SEMINA YA HALMASHAURI KUU YA CCM MKOA WA KILIMANJARO LEO.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akifungua Semina ya Halmashauri Kuu ya CCM mkoa wa Kilimanjaro, leo Aprili 6, 2013, katika ukumbi wa VETA mjini Moshi. (Picha na Bashir Nkoromo).

Wakuu wa wilaya za mkoa wa Kilimanjaro, wakijitambulisha kwenye semina ya Halmashauri Kuu mkoa wa Kilimanjaro, katika ukumbi wa VETA mjini Moshi. Kutoka kushoto ni, Charles Mlingwa (Siha), Novatus Makunga (Hai), Elinas Pallangyo (Rombo), Shaibu Ndemanga (Mwanga), Helman Kapufi (Same) na Dk. Ibrahim Msengi (Moshi Mjini). (Picha na Bashir Nkoromo).

Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro, Steven Kazidi akizungumza wakati

Wajumbe wakimshangilia Nape alipofungua kikao cha Halmashauri Kuu ya CCm, mkoa wa Kilimanjaro katika ukumbi wa VETA mjini Moshi.

This entry was posted in

Leave a Reply