Google PlusRSS FeedEmail

LOWASSA AWAMWAGIA MAMILIONI YA FEDHA WAISLAM LEO


Waziri Mkuu wa zamani, Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa akikabidhi kitita cha sh. milioni tano kwa viongozi wa Baraza la Misikiti Tanzania (BAMITA), katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam, leo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa BAMITA, Sheikh Salum Sung'he. Imeelezwa katika makabidhiano hayo kwamba fedha hizo ni kwa ajili ya kuendeleza mipango kazi ya BAMITA katika kuelimisha jamii katika kupunguza maambukizi ya Ukimwi na kudhibiti mimba kabla ya ndoa. Katikati ni Makamu Mwenyekiti wa BAMITA, Alhaj Juma Swalehe.  Huu ni mwendelezo wa Lowassa kumwaga mamilioni ya fedha kwa taasisi za kidini ambapo amekuwa pia akimwaga mamilioni kwenye makanisa kupitia harambee mbalimbali. PICHA NA .DAILY MITIKASI BLOG

This entry was posted in

Leave a Reply