Google PlusRSS FeedEmail

PINDA AFUNGUA SEMINA YA ALBINO DODOMA LEO


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya washiriki wa semina ya wabunge kuhusu masuala ya Albino baada ya kuifngua kwenye ukumbi wa Msekwa, Bungeni Mjini Dodoma, Aprili13, 2013. Kuliani Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dr.Seif Rashid.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

This entry was posted in

Leave a Reply