Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano mkubwa wa CCM uliofanyika jioni hii mjini Morogoro, ikiwa ni hitimisho la ziara yake ya siku nane mkoani Morogoro.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye wakiingia kwenye Uwanja wa mkutano wa hadhara wa CCM mjini Morogoro.Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano huo
Maelfu wakiwa wamefurika kwenye mkutano wa CCM uliofanyika mkoani Morogoro jioni hii
Msanii Nasibu Abdul 'Diamond' akibebwa na wasanii wake kukoleza, alipotumbuiza kwenye mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika mjini Morogoro leo jioni
Diamond akitumbuiza kwenye mkutano wa CCM uliofanyika jioni hii mjini Morogoro
Msanii Lina akitumbuiza kwenye mkutano huo
Wasanii Chege na Temba kutoka TMK Family wakishambulia jukwaa wakati wa mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika kwenye mjini Morogoro jioni hii
Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro Sixtus Mapunda akizungumza mwanzoni mwa mkutano huo