Google PlusRSS FeedEmail

KINANA KUHUTUBIA WANANCHI WA MOROGORO


Katibu Mkuu wa CCM Taifa leo atahutubia wakazi wa Morogoro mjini katika viwanja vya shule ya Msingi Kiwanja cha Ndege.
Katibu Mkuu ambaye anahitimisha ziara yake ya mkoa huu, ambayo aliianza akiwa na Nape Nnauye na Dk.Mohamed Seif Khatib .

Mkutano huu utonyeshwa moja kwa moja na TBC1 na TBC Radio kuanzia saa tisa mpaka saa kumi na moja jioni.

This entry was posted in

Leave a Reply