Google PlusRSS FeedEmail

KINANA APOKELEWA NA WAFANYA BIASHARA WADOGO MVOMERO


Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahaman Kinana akisalimiana na  Vijana wafanyabiashara  wadogo wa Magole,Feri  ,Mvomero alipokuwa anaingia wilaya ya Mvomero ,Katibu Mkuu hakujali kunyesha kwa mvua,furaha yake ilikuwa ni kusalimiana na vijana ambao wanafanya biashara katika eneo hilo.

Katibu Mkuu wa CCM Taifa,Ndugu Abdulrahaman Kinana akisalimiana na vijana wafanya biashara wadogo wadogo wa Feri,Magole,Kinana aliwashauri vijana hao kuanzisha ushirika wao na yeye atawawezesha kuboresha mtaji wao.(18 April 2013)

This entry was posted in

Leave a Reply