Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro akihutubia wananchi wa Ruaha wilaya wa Kilosa. |
Mwenyekiti wa CCM wilaya wa Kilosa ,Nassoro Udelele akijibu swala la wahanga wa ardhi katika wilaya ya Kilosa,kata ya Ruaha. |
Mshairi maarufu wa Morogoro,,Ndugu Maulid Chambilila akighani wakati wa mkutano wa hadhara uiofanyika kata ya Ruaha,wilaya ya Kilosa. |
Dk.Mohamed Seif Khatib akihutubia wananchi wa wilaya ya Kilosa ,kata ya Ruaha ambapo aligusia umuhimu wa Muungano. |
Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akihutubia wananchi wa wilaya ya Kilosa,kata ya Ruaha na kuwashukuru kufanikisha uchaguzi wa wajumbe wa mabaraza ya katiba. |
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu abdulrahaman Kinana akizungumza na wananchi wa Ruaha wilaya ya Kilosa. |