Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo ya shamba darasa ambapo wanakijiji wanapewa mafunzo ya kufuga na kulima kwa kisasa. |
Moja ya banda la Mifugo kwa ajili ya mafunzo ya ufugaji |
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akisoma baadhi ya kero za wananchi wa kata ya Kiroka,Morogoro vijijini. |
Ujenzi wa Kituo cha afya cha Mkuyuni ukiwa unaendelea kwa kasi nzuri. |
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahaman Kinana akishiriki ujenzi wa kituo cha afya cha Mkuyuni. |
Zahanati ya Mkuyuni ambapo kuna jengwa kituo cha Afya cha Mkuyuni. |
Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na wananchi wa Mkuyuni. |
Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza Chifu Kingaru,wakati wa kupokea zawadi za kimila kutoka kwa Chifu huyo wa 14 katika kijiji cha Mkuyuni. |
Katibu Mkuu wa CCM ,Ndugu Abdulrahman Kinana akitoa shukrani zake kwa Chifu Kingaru wa 14. |
Katibu Mkuu wa CCM ,Ndugu Abdulrahman Kinana akiongoza wananchi wa Morogoro Vijijini kwenda kuangalia maendeleo ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM. |
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na kijana wa Kimasai kwenye viwanja vya shule ya msingi ya Mvuha,Morogoro Vijijini. |
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa kijiji cha Mvuha ,Morogoro Vijijini, tarehe 20 April 2013. |