Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akizungumza na wananchi wa tarafa ya Mtimbira wilaya ya Ulanga mkoa wa Morogoro. |
Nape Nnauye akiongea na wakazi wa kata ya Karangakero,tarafa ya Mtimbira wilaya ya Ulanga. |
Katibu wa CCM,Sixtus Mapunda akihutubia wananchi wa tarafa ya Mtimbira, kwenye viwanja vya shule ya msingi ya Mtimbira . |
Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi ,Nape Nnauye akihutubia wakazi wa tarafa ya Mtimbira, wilaya ya Ulanga,tarehe 15 April 2013. |