Google PlusRSS FeedEmail

ASHA ABDALLAH JUMA APETA BARAZA KUU LA UWT

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na katibu wa  NEC Oganizesheni Bi Asha Abdalla Juma, alipokuwa akijieleza katika Uchaguzi wa UWT Mkoa wa Mjini ,uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa wa Mjini Magharibi Amani juzi,katika uchaguzi huo Bi Asha aliibuka kuwa mshindi wa pili utamuwezesha kushiriki katika  Baraza Kuu Taifa la UWT.
Picha ya pamoja ya wanachama  wa CCM waliowania nafasi ya Baraza Kuu la UWT kabla ya kujieleza kila mmoja katika uchaguzi uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa wa Mjini Magharibi Amani juzi, {Picha zote kwa hisani ya Mwarabu Mmadi}

This entry was posted in

Leave a Reply