Google PlusRSS FeedEmail

RAIS AWAAPISHA MJUMBE (MBM),NAIBU MAWAZIRI NA NAIBU KATIBU WAKUU WA WIZARA MBALIMBALI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akimuapisha Mhe.Shawana Bukheti Hassan, kuwa Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi wakati wa hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akimuapisha Mhe,Saidi Mohamed Said,kuwa Naibu Waziri Mifugo na Uvuvi, wakaati wa  hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar, leo mchana.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
akimuapisha Mhe, Mtumwa Kheir Mbarak,kuwa Naibu Waziri Kilimo na Maliasili,  wakati hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akimuapisha Bw Tahir M. Abdulla,kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano,wakati wa hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar, leo mchana.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akimuapisha Bw Mustafa Aboud Jumbe,kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Makaazi,Maji na Nishati, katika haflailiyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar, leo mchana.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akimuapisha CDR Julius Nalimy Maziku,kuwa Naibu Katibu Mkuu  Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,IdaraMaalum za SMZ katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akimuapisha Bw Juma Ameir Hafidh,kuwa Naibu Katribu Mkuu Ofisi ya Rais (Fedha Uchumi na Mipango ya Maendeleo), katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

This entry was posted in

Leave a Reply