Google PlusRSS FeedEmail

MTANGAZAJI WA DEUTSCHE WELLE AFRIKA AAGWA RASMI


Mtangazaji mkongwe wa Idhaa ya Kiswahili Othman Miraji (kulia) akizungumza na Mhariri Mkuu wa Idara ya Afrika ya Deutsche Welle, Ute Schaeffer (kushoto) na Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili, Andrea Schmidt. Othman Miraji ameagwa rasmi leo kufuatia kustaafu baada ya kuitumikia Idhaa hii kwa miaka 35( Picha kwa hisani ya Sudi Mnete)

This entry was posted in

Leave a Reply