Google PlusRSS FeedEmail

KATIBU MKUU KIONGOZI AKUTANA NA BALOZI WA OMAN NCHINI

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Oman nchini Tanzania Mhe Yahya bin Moussa al Bakari ofisini kwake Ikulu jijini Dar es salaam tarehe 17 April 2013
Mazungumzo hayo yalihusu mambo mbalimbali ya ushirikiano baina ya nchi mbili hizi.


This entry was posted in

Leave a Reply