Google PlusRSS FeedEmail

MZEE MWINYI AKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR ES SALAAM

Rais Mstaafu wa awamu ya pili,Alhaj Ali Hassan Mwinyi akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam tarehe 17 April 2013 ,wakati alipozungumzia swala uhalali wa kuchinja ambalo limekuwa ni gumzo sana hapa nchini kwa kipindi cha hivi karibuni.

This entry was posted in

Leave a Reply