Google PlusRSS FeedEmail

CCM MKOA WA VYUO WAPIGWA MSASA NA JANUARY MAKAMBA DAR

 MWENYEKITI wa makada wa vyuo vikuu mkoa wa vyuo wilaya ya Dar es salaam, Ndugu Asenga Abubakar, akifungua kongamano maalum la makada, wapenzi na wa mashabiki wote wa CCM ambao wapo vyuoni, lilofanyika leo Karimjee Jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya mahafali ya kuwaaga wanachama wenzao wanaomaliza vyuo mwaka huu wa 2013 mkoa wa Dar es salaam. Kishoto ni Katibu wa CCM wilaya ya Vyuo Dar es Salaam, Daniel Zenda.
 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia, Januari Makamba akizungumza kwenye kongamano hilo.
Wajumbe waakiwa kwenye kongamano hilo leo (Picha zote na BASHIR NKOROMO

This entry was posted in

Leave a Reply