Google PlusRSS FeedEmail

KAMPENI ZA CCM ZA UDIWANI IFAKARA ZAFANA

 Mwenyekiti wa ccm mkoa wa morogoro na Mbunge wa Morogoro kusini Mh Innocent Kalogeris akisikiliza kwa makini sera hotuba ya mbunge wa kilombero mh Abu Mteketa wakati wa kampeni ya kumnadi mgombea wa udiwani kata ya ifakara Ndugu Benjamini masepo mkutano uliofanyika kata ya ifakara.


Mgombea wa udiwani kwa chama cha mapinduzi Ndugu Benjamini Masepo aliyevaa kofia ya njano akiwa katika mkutano huo wa kampeni leo ifakara mjini.




 Mwenyekiti wa ccm mkoa wa morogoro na Mbunge wa Morogoro kusini Mh Innocent Kalogeris akimnadi mgombea wa udiwani wa kata ya ifakara mjini,Mh kalogeris amewaasa wananchi wa kata hiyo kuichagua ccm ili kutekeleza yale yote waliyowaahidi wakati wa kampeni za uchaguzi.Uchaguzi huo umekuja kutokana na kifo cha aliyekuwa diwani wa kata hiyo kufariki.
 Wabunge wa morogoro waheshimiwa Sarah Msafiri na Dk Haji Ponda wakiwa katika mkutano huo wa kampeni ifakara mjini
Umati uliojitokeza katika mkutano huo leo



This entry was posted in

One Response so far.

  1. Mohamed says:

    Safi sana CCM, Karibuni ifakara. Tuwekeeni na Picha za kina baba tuonekane nasi ni wakereketwa kamili kwani naona mmeweka za kina mama pekee.
    Chama ni chetu sote.

Leave a Reply