Google PlusRSS FeedEmail

UJUMBE WA VIETNAM WAKUTANA NA KINANA, MANGULA DAR

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha katika hoteli ya Protea Cortyard jijini Dar es Salaam, Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam Hoang Quan, baada ya mgeni huyo na ujumbe wake kuwasili kwa ajili ya mazungumzo na Kinana, Juni 6, 2013. Nyuma ya Quan ni Balozi wa Vietnam hapa nchini,Thien Nguyen
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha katika hoteli ya Protea Cortyard jijini Dar es Salaam, Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam Hoang Quan, baada ya mgeni huyo na ujumbe wake kuwasili kwa ajili ya mazungumzo na Kinana, Juni 6, 2013.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana  (wapili kulia) akizungumza na Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam (CVP), Hoang Quan (wapili kulia), katika hoteli ya Protea Cortyard jijini Dar es Salaam. leo Juni 6, 2013. Kushoto ni Katibu wa NEC ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro na Watatu kushoto ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye. Kulia ni Balozi wa Vietnam Tanzania Thien Nguyen
  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana  (wapili kulia) akizungumza na Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam (CVP), Hoang Quan (wapili kulia), katika hoteli ya Protea Cortyard jijini Dar es Salaam. leo Juni 6, 2013. Kushoto ni Katibu wa NEC ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro na Watatu kushoto ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye. Kulia ni Balozi wa Vietnam Tanzania Thien Nguyen
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimshukuru Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam Hoang Quan, baada ya mazungumzo yao katika hoteli ya Protea Courtyard, Dar es salaam, leo. Kushoto ni Dk. Asha Rose Migiro na watatu kushoto ni Nape Nnauye.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimshukuru Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam Hoang Quan, baada ya mazungumzo yao katika hoteli ya Protea Courtyard, Dar es salaam, leo. Kushoto ni Dk. Asha Rose Migiro na watatu kushoto ni Nape Nnauye. Kulia ni Balozi wa Vietnam Thien Nguyen
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana na mgeni wake, Quan wakiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa mgeni huyo
 Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Phili Mangula akizungumza wakati wa chakula cha mchana kilichoandaliwa kwa ajili ya ujumbe wa Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam Hoang Quan (wapili kushoto) katika Mgahawa wa Akemi jijini Dar es Salaam.
 Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula akimpa zawadi ya sanamu ya twiga iliyotengenezwa  kwa vyuma chalavu, Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam Hoang Quan, wakati wa chakula cha mchana kwenye mgahawa wa Akemi, jijini Dar es salaam. Sanamu hiyo ni ubunifu unaofanywa na kikundi cha walemavu jijini Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula na Quan wakiwa katika picha yua pamoja na baadhi ya viongozi wa CCM. Kushoto ni Balozi wa Vietman hapa nchini Nguyan. Picha zote na BASHIR NKOROMO

This entry was posted in

Leave a Reply